Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?

hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we endelea kujinajisi wewe mwenyewe na nyumba ya baba yako kwa nyeto na usagaji.

Surely,
unatoka geto kufanya uasherati na unzinzi moja kwa moja unaelekea kwa nabii kwenye maombi na maombezi ili upate kazi, mume au mke huku umetoka kunyanduana bila kutubu kabla ya kuomba Mungu, kweli ndungu zangu?

Tazama vijana waliojazana kwenye nyumba za maombi na maombezi kwa mitume na manabii, wengi hawafanikiwi kwasabb anatoka kunyanduana anaenda kwenye maombi akimaliza anarudi tena kwenye dhambi ile ile ya kunyanduana.

Amesahau kutubu,
amesahau kwamba uasherati uchafu na unajisi wa nafsi zetu na uzinzi ni dhambi na chukizo kwa Mungu. Yeye anaona ni haki tu kunyandua na kunyanduliwa kwasababu hakuna anae waona.

But Mungu wa mbinguni anatuona sisi sote live bila chenga mpaka mioyoni mwetu.

Tubuni na kuiamini injili na Mungu awabariki sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ukweli mchungu.

Then wasipopokea wanaanza kulalamika Mungu hayupo, Nabii ni fake.

Bahati mbaya Manabii wa Sasa hawawaambii ukweli, wao wanataka kuuza Maji na Mafuta ya upako.

Bila kuacha Dhambi na kuishi maisha matakatifu maombi Yako kwa Mungu ni kelele ambazo Huwa hata hasikilizagi.
 
Unatoka geto kwako kupiga punyeto moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi homo moja kwa moja bafuni kupiga nyeto, kweli?

hujui nyeto ni kujipaka nuksi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we endelea kujinajisi wewe mwenyewe na nyumba ya baba yako kwa nyeto.

Surely,
unatoka geto kufanya uasherati na unzinzi moja kwa moja unaelekea kwa nabii kwenye maombi na maombezi ili upate kazi, mume au mke huku umetoka kunyanduana bila kutubu kabla ya kuomba Mungu, kweli ndungu zangu?

Tazama vijana waliojazana kwenye nyumba za maombi na maombezi kwa mitume na manabii, wengi hawafanikiwi kwasabb anatoka kunyanduana anaenda kwenye maombi akimaliza anarudi tena kwenye dhambi ile ile ya kunyanduana.

Amesahau kutubu,
amesahau kwamba uasherati uchafu na unajisi wa nafsi zetu na uzinzi ni dhambi na chukizo kwa Mungu. Yeye anaona ni haki tu kunyandua na kunyanduliwa kwasababu hakuna anae waona.

But Mungu wa mbinguni anatuona sisi sote live bila chenga mpaka mioyoni mwetu.

Tubuni na kuiamini injili na Mungu awabariki sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Watu wengi wanamchanganya Mungu na anasa, toba hawafanyi wanataka Mungu awatendee. Ndio maana havutokei
 
Ukweli mchungu.

Then wasipopokea wanaanza kulalamika Mungu hayupo, Nabii ni fake.

Bahati mbaya Manabii wa Sasa hawawaambii ukweli, wao wanataka kuuza Maji na Mafuta ya upako.

Bila kuacha Dhambi na kuishi maisha matakatifu maombi Yako kwa Mungu ni kelele ambazo Huwa hata hasikilizagi.
Mungu akubariki sana mtumishi kusisitiza habari ya ukweli 💪👊🙏
 
Sisiem siku zote wanafungua vikao kwa Sala ili kwenda kuongea Uongo na Unafki Kisha wanafunga kwa Sala.
hilo sifahamu gentleman,
but ni muhimu kujipatanisha na Mungu kwa toba kabla ya kuomba nahitaji yetu kiroho na kimwili.

Mungu akubariki sana 🐒
 
Hakuna kupata mafanikio yoyote eti kwa kuombewa , serikali ifanye mchakato vijana wapate ajiri na kuweka mazingira mazuri ya fursa mbalimbali , vijana wachape kazi na hao sijui manabii wakalime waache uvivu wakuwatumia vilaza kujinufaisha.

Note, kama utajiri upo na umaskini pia upo ni vitu vinategemeana.
 
Apostle Kuna miujiza huku .....

Nini kimetokea [emoji3][emoji3][emoji3]
vilio ni vingi mtaani juu ya ajira kwa vijana, wake kwa waume kupata wenza wao wa ndoa n.k

kasoro, kosa au dosari kubwa kwa wengi wao kuongeza sauti za vilio vyao na wengine hata kufikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi duniani, ni hiyo ambayo nimeieleza kwa kifupi sana hapo juu.

Toba haifanyiki ili kujipatanisha na Mungu huyo wanae muomba mahitaji yao kupitia mitume na manabii 🐒
 
Hakuna kupata mafanikio yoyote eti kwa kuombewa , serikali ifanye mchakato vijana wapate ajiri na kuweka mazingira mazuri ya fursa mbalimbali , vijana wachape kazi na hao sijui manabii wakalime waache uvivu wakuwatumia vilaza kujinufaisha.

Note, kama utajiri upo na umaskini pia upo ni vitu vinategemeana.
mnaililiaga serikali itoe ajira, hii serikali ina nafasi ngapi za kutoa ajira kwa wahitimu wengi kiasi hiki? Wengine wakafanye shughuli zingine zisizo rasmi kwa fani na taaluma zao wakati wakisubiria wengine wastaafu nao waajiriwe
 
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi. Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.
1 Tim 1 :15-16

Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu
Luka 5: 32
 
uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako,

upigaji nyeto wako na usagaji wako ndio nuksi na unajisi wako hata usifanikiwe kila unalojaribu kulifanya.

Tubu na kujipatanisha na Mungu kwanza, nae atakuonyesha njia na kukufanyia wepesi katika ugumu unaopitia.

hakuna haja kumdingizia mwingine.
Mchawi wa hali yako ni wewe mwenyewe na Mungu ndio mganga mkuu pekee wa kukukwamua ulipokwama.🐒

Mungu akuhurumie gentleman
 
mnaililiaga serikali itoe ajira, hii serikali ina nafasi ngapi za kutoa ajira kwa wahitimu wengi kiasi hiki? Wengine wakafanye shughuli zingine zisizo rasmi kwa fani na taaluma zao wakati wakisubiria wengine wastaafu nao waajiriwe
Kwamba nafasi ya wasira ipo ila kijana mmoja asiye na ajira haipo?
 
It depends wanamuomba mungu gani, miungu ni mingi sikuhizi hata hao manabii kujua kama kweli wanamtumikia Mwenyezi MUNGU ni kipengele.

Kama wanaenda kumuomba MUNGU yeye mwenyewe anasema hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atavuna.
 
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi. Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.
1 Tim 1 :15-16

Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu
Luka 5: 32
Tatizo kubwa sana vijana hawataki hata kuskia habari hiyo ya Luka 5:32,

wanataka tu mafanikio tena wakiwa katika dhambi 🐒
 
Back
Top Bottom