Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
uko sahihi gentlemanMi huwa nafuatilia manabii kwenye tv,lakini sijawahi ona wanakemea dhambi,wao wanahubiri kuhusu utajiri na mafanikio tu
Hawa huwa nawaza wapo upande wa SHETANI kwa kutumia kivuli cha kanisa
Au huwa naona vibaya
asanteuko sahihi gentleman
1000%No sex until marriage
Hii mkuu umeshauri vema sana lakini mkuu nimekucheck pm kidogo mkuusasa mimi pesa ipi tena gentleman kwa mfano, hali ya kua kwa mwaka huu wa kilimo nimeshafukia ardhini pesa zaidi ya ekari mia4, huku mingurue, ming'ombe, mimbuzi na mikondoo inanenepeana tu shamba?
kwanini nisitumie muda huu kuwashauri wadau wasaka mafanikio kwamba nyeto ni NAJISI, nuksi na mikosi kwako mwenyewe?🐒I
Hii ni kweli mambo yoooote nayopitia nahisi Kuna Moja napitia sana hapo🤔Gentleman,
hoja mahususi ni angalizo na ushauri kwa wanatafuta neema na Baraka za Mungu wakiwa wadhambi, na kwahivyo ni muhimu sana watubu na kujiepusha na uchafu wanaoufanya ili wabarikiwe,
Lakini pia,
vijana wengi tena watanashati na warembo wanateswa na nuksi na mikosi na hawafanikiwi kwasasababu ya punyeto na usagaji,.
My friends, ladies and gentlemen,
hutapendeka au kufanikiwa ikiwa wewe ni mpiga nyeto au msagaji,
daima utakua mtu wa kulalamika na kulaumu wengine kumbe ni nuksi, unajisi na mikosi unajipaka mwenyewe kwa nyeto na usagaji wako,
Chukua hiyo itakusaidia gentleman 🐒