Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Mbeya/iringa tunapataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazo.

Tunapenda kuwafahamisha yafatayo.

Bei za Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa mkebe wa gram 80 kwa reja reja kwa sasa ni Shillingi 5,000 tu ukinunua kwetu. Ukinunua kwa wasambazaji inaweza ikawa hiyo au juu kidogo.

Tumepandisha bei kiasi kutokana na gharama kupanda.

Mtatusamehe sana kwa usumbufu wowote.

Kwa maelezo zaidi piga 0625249605 Mzee Abdul au 0769302206 Zainab Tamim au tuma whatsapp 0625249605.
 
pengine ungetuwekea picha nyingine ya mwanao tuone Kipara kinaendeleaje. kwasasabu kama mmefanikisha ni tumaini leta kwa sasa kipara kitakuwa kimemuisha kabisa
 
pengine ungetuwekea picha nyingine ya mwanao tuone Kipara kinaendeleaje. kwasasabu kama mmefanikisha ni tumaini leta kwa sasa kipara kitakuwa kimemuisha kabisa
Bahati mbaya sana mkewe kakataa kasema hata picha tulizoweka tuziondoe.

Abiria chunga mzigo wako.
 
Bahati mbaya sana mkewe kakataa kasema hata picha tulizoweka tuziondoe.

Abiria chunga mzigo wako.
Acha uongo kupga pcha kichwa tu tena sura unaihide kipi kinakushinda? Basi tupe ushahidi kutoka kwa mmja wa wateja wako aliyefanikiwa otherwise funga tu hii thread uache kuibia watu pesa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…