Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

kuna yoyote amewahi tumia hii dawa na kupona?
 
duh hii thread bado ipo?
Hebu gonga like kama na wewe ni mhanga wa bi zainab lakini bado uko na upara wako.
Mkuu, ina maana dawa haikusaidia? Nilipanga kumtafuta huyu.
 
Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee

Nipo tayari kukupa utumie bure bila kulipia senti tano, mpaka utakapohakikisha kuwa kuna mabadiliko na mafanikio baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay ndio utalipia.

Kama haijakusaidia na haujaona mabadiliko unarudishiwa pesa yako bila masharti.

Hii ni bidhaa pekee ambayo nipo tayari kukupa utumie bure kwa tatizo lako lolote la ngozi, utalipia baada ya mafanikio tu.

Kwa wale wataotaka watumie bure bila kulipia, wahakikishe wanakuja kwangu na wanitumia hii dawa hapa hapa kwangu ili nihakikishe kweli wanaitumia ipasavyo.

Na wale wasio na uwezo wa kumudu kuinunua ni bure na waje kwangu Sinza kuchukuwa wakati wowote wala wasisite hata kidogo.

Karibuni.

Mimi nipe nitumie bure nikulipe nikiona majibu.
 
Vipi wakuu kwa walioitumia hii dawa ikoje matokeoooo wazee ?
 
Back
Top Bottom