Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Na mimi niliyepo tanga naipataje? Shida yangu ni nywele za mbele zinapungua na kuwa kipara,naomba kujua bei yake na jinsi inavyofanya kazi
 
Inauzwa pesa ngapi??
Mbeya,moshi inapatikana hiyo ya kipara?
 
Mengine mengi yapi Bi Zainab hebu tugusie kidogo,vipi yule mwanao aliyekuwa na walaza sasa umepotea kabisa?
Kabisa, sema hayupo Tanzania kwa sasa na uko alipo alichukua kidogo amenambia nikipata mtu nimtumie aendeleze.
 
Na mimi niliyepo tanga naipataje? Shida yangu ni nywele za mbele zinapungua na kuwa kipara,naomba kujua bei yake na jinsi inavyofanya kazi
Piga 0769302206 Tanga tunakusafirishia kwa basi. Gharama za usafiri juu yako.
 
Nilijipakaga makopo matatu yakaisha bila mafanikio nikaachana nao. Tena uliniuzia mwenyewe bi zainab hapo kwako sinza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dawa hiyo ingekuwa inatibu now angekuwa billgates
Tatizo sisi tunaishi shamba huku na umri nao umeenda ni wastaafu. Tungefurahi sana vijana muikimbilie hii fursa na kufanya ubunifu wenu. Karibuni sana.
 
Nilijipakaga makopo matatu yakaisha bila mafanikio nikaachana nao. Tena uliniuzia mwenyewe bi zainab hapo kwako sinza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wewe haikukufaa. Ulinunua shillingi ngapi baba tukurudishie pesa zako.

Uliitumia kwa kipara? Dozi ya kipara ni mikebe 6 kwa kuanzia kwa kupaka kila siku ikiwezekana.

Nitumie namba na jina litalotoka nikurushie haki yako kwa kuwa tiba yetu haikukuridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…