Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

kuna yoyote amewahi tumia hii dawa na kupona?
 
duh hii thread bado ipo?
Hebu gonga like kama na wewe ni mhanga wa bi zainab lakini bado uko na upara wako.
Mkuu, ina maana dawa haikusaidia? Nilipanga kumtafuta huyu.
 
Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee

Mimi nipe nitumie bure nikulipe nikiona majibu.
 
Vipi wakuu kwa walioitumia hii dawa ikoje matokeoooo wazee ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…