Unatumia app au browser kuingia JamiiForums?

Google Chrome unyama. Naipenda kwa sababu nakuwa na uwezo wa kufungua tabs nyingi kwa wakati mmoja na kuanza kusoma moja moja.
Nilijaribu kutumia JF app lakini naona haikunibariki, sikuipenda.
 
Me sina smartphone ila naenjoy na kabatan kangu kana opera mini, naipata JF fresh sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…