Unatumia app au browser kuingia JamiiForums?

Unatumia app au browser kuingia JamiiForums?

Mi natumia hii ipo fresh tu, sijui ndo browser au,
Screenshot_20240629-141837.jpg
 
Google Chrome unyama. Naipenda kwa sababu nakuwa na uwezo wa kufungua tabs nyingi kwa wakati mmoja na kuanza kusoma moja moja.
Nilijaribu kutumia JF app lakini naona haikunibariki, sikuipenda.
 
Me sina smartphone ila naenjoy na kabatan kangu kana opera mini, naipata JF fresh sana
 
Back
Top Bottom