Unatumia Cashbook apk gani ya Android kurekodi mapato na matumizi yako?

Unatumia Cashbook apk gani ya Android kurekodi mapato na matumizi yako?

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu,

Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri.

Natanguliza shukrani[emoji120]

MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI.
 
Mimi huwa siwazi nikiwa na hela natumia ikiisha tutajua mbele kwa mbele huko.

Huwa nikiwa na hela najua ni kiasi gani nikitaka kujua nilitumia kiasi gani nahesabu iliyobaki ndio nijue.

Jana tu jioni nimetumia laki zaidi ya laki mbili na nimenunua tu matunda na sabuni. Nyingine nimekula vyombo na kubet na kuhonga.

Nahisi ndio maana mpaka sasa niko maskini kumbaf.
 
Kupanga ni kuchagua mkuu, mimi nimeona nitrack matumizi yangu nijue wapi nayumba
 
Mimi nlitumia spending tracker kama miez miwili..
Nkagundua kbsa kua mimi nasadifu uchumi wa chini kama nchi yangu.
Nmeipumzisha kwanza. Stress zilikua mingi
Ngoja niichungulie hii nione uzuri wake Mkuu[emoji120]
 
Back
Top Bottom