Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natumia excel ila sema mwezi huu nimezembea.Habari za leo wakuu,
Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri.
Natanguliza shukrani[emoji120]
MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI.
money manager. rahisi kabisaHabari za leo wakuu,
Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri.
Natanguliza shukrani[emoji120]
MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI.
Ina features gani nzuriNitatumia My wallet sijawahi kujuta.
Ku control matumizi (expenses )Unarekodi ili iweje na ushakitumia
Shukrani boss, ngoja niicheki
Ngoja nijaribu kucheza nayo mkuu
Sasa mkuu, hawa jamaa watakuchanganya na madesa yao. Angalia iliyochaguliwa na wengi, then nenda na hiyo.Ngoja niitafute mkuu
Yeah fanya hivyoNgoja nichunguze mojamoja nione ipi itanifaa mkuu