Unatumia Cashbook apk gani ya Android kurekodi mapato na matumizi yako?

Unatumia Cashbook apk gani ya Android kurekodi mapato na matumizi yako?

Habari za leo wakuu,

Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri.

Natanguliza shukrani[emoji120]

MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI.
Mimi natumia excel ila sema mwezi huu nimezembea.

Mwezi uliopita pesa nyingi ilienda kwenye vocha na chakula!!
 
Habari za leo wakuu,

Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri.

Natanguliza shukrani[emoji120]

MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI.
money manager. rahisi kabisa
 
Hizi applications ni nzuri kutumia kumpangia matumizi wife [emoji23][emoji23][emoji23] ugomvi ukiibuka blame no one
 
Money Manager...
Screenshot_20230225_192412_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom