Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Karibuni tushirikishane aina mbalimbali za Keyboards tunazozipenda kuzitumia kwenye Simu zetu.
Mimi napendelea kutumia Keyboard tajwa hapo juu,
Ninaipenda kutokana na sifa kadhaa iliyonayo.
Baadhi ni hizi hapa:
1. Clip Board
Maneno yote ambayo nakuwa nayacopy ili niyapaste sehemu yanatunzwa kwenye Clip Board.
Ukitaka upaste maneno ambayo uliyacopy kabla hujacopy mengine ambayo umeyacopy muda mfupi utayakuta kwenye hii sehemu na unaweza kuyapaste tena ukihitaji
2. Resize
Hapa unaweza kuset size ya muonekano wa keyboard yako kadri unavyopenda. Mimi nimeset muonekano ambao kidogo ufunike sehemu nzima ya screen ili kuepusha pindi ninaporeply kuficha sehemu ya mtu tunayechat naye. Maana kuna watu wanapenda kupiga chabo ili aone unachat na mtu gani
3. NumRow On/Off
Hii inaonesha namba za tarakimu juu ya herufi kama ulivyompangilio wa PC. Hii inaniwezesha kuandika namba kwa urahisi bila kuhangaika kubonyeza kitufe ili namba zionekane
4. Layout
Hii imegawanyika sehemu 4, Normal, Undock, One handed, Split
Unaweza kuset aina yoyote ya Layout unayoipenda.
Hizi ni baadhi tu za hii Keyboard.
Share Keyboard yako hapa unayoipenda tupate kujifunza zaidi

Attachments
-
Screenshot_2018-03-03-15-24-06.png88.4 KB · Views: 92 -
Screenshot_2018-03-03-15-19-51.png68.8 KB · Views: 93 -
Screenshot_2018-03-03-15-20-17.png58.4 KB · Views: 95 -
Screenshot_2018-03-03-15-20-08.png59.8 KB · Views: 90 -
Screenshot_2018-03-03-15-21-28.png93.1 KB · Views: 89 -
Screenshot_2018-03-03-15-21-58.png67.9 KB · Views: 91 -
Screenshot_2018-03-03-15-22-18.png64.4 KB · Views: 92 -
Screenshot_2018-03-03-15-22-32.png61.7 KB · Views: 86 -
Screenshot_2018-03-03-15-22-51.png59.9 KB · Views: 91