Unatumia Keyboard gani kwenye Simu yako? Mimi natumia TouchPal

9169aefb24e0b79b738cf324dd0a950b.jpg
 
haha dah watu mna change hadi keyboard.....ngoja namm niinstal aisee
 
TISS sio watu wazuri kabisa sasa nyie jichanganyeni.......tutawaokota cocobeach punde si punde.....walianza Mara oooh screen short home screen yako .....now wamekuja na hili la keyboard anatafutwa mtu hapa! Msije kusema sikuwaambia
 
Niko nyuma kinoma aisee kama ni mhenga basi wa zama za mawe....mnafanya fanyaje wakuu kupata hizi mambo?
 
Mwifwa hiyo namba 3 unaipata wapi?
Angalia screenshot ya 4 kati ya niliyozi attach utaona hiyo sehemu. Ukiibonyeza kwenye keyboard utaweza kufanya option ya On(tarakimu zionekane kwa juu kwenye herufi mithili ya keyboard ya PC) /Off( tarakimu zisionekane)
 
Niko nyuma kinoma aisee kama ni mhenga basi wa zama za mawe....mnafanya fanyaje wakuu kupata hizi mambo?
Download yoyote kati ya zilizotajwa na wachangiaji hapa halafu utafanya setting kama kawaida tu
 
TISS sio watu wazuri kabisa sasa nyie jichanganyeni.......tutawaokota cocobeach punde si punde.....walianza Mara oooh screen short home screen yako .....now wamekuja na hili la keyboard anatafutwa mtu hapa! Msije kusema sikuwaambia
Ohooo
 
Angalia screenshot ya 4 kati ya niliyozi attach utaona hiyo sehemu. Ukiibonyeza kwenye keyboard utaweza kufanya option ya On(tarakimu zionekane kwa juu kwenye herufi mithili ya keyboard ya PC) /Off( tarakimu zisionekane)
Kumbe nilikuwa na old version..Nimeupdate now ndo nimeipata.
 
Back
Top Bottom