Unatumia kigezo gani kupima urembo wa Mwanamke?

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
2,998
Reaction score
4,948
Wakuu nina swali ambalo nilishawahi kuwauliza watu mtaani lakini majibu waliyonipa hayajiniridhisha. Sasa kwa kuwa JF ni jukwaa lenye watu wenye profession tofauti tofauti natumai nitapata majibu yatakoyonikonga moyo.

Swali langu ni kwamba ni vigezo gani ambavyo wanaume hutumia kupima urembo wa mwanamke, je ni rangi yaani weupe, weusi au maji ya kunde. Je ni kimo yaani urefu au ufipi.

Ni umbo Kwa maana ya namba 8, mwembamba au chibonge. Ni wazi kuwa watoto wa 2000 wanapenda wanawake wenye big nyash na ni dhana ya big nyash iliyomfanya kijana mmoja kumtongoza mwanamke wa miaka 58, nilicheka sana alipokaripiwa na yule mama.

Binafsi nimempenda Binti mmoja lakini sijui kigezo nilichotumia mpaka nikamwita mrembo naye ni huyu hapa chini pichani (sura yake nimeificha asije akakuchanganya ukaacha kufanya shughuli zako) wewe je!
 

Attachments

  • IMG_20240911_130506_216~2.jpg
    732.7 KB · Views: 14
Mizigo minene minene iliyojazia neema za Allah
Sheikh Kipozeo
 
Kwanza unatakiwa ujue uzuri ni nini na ukishajua uzuri ni nini bas
Cha pili kujua ni kua kila mtu ana maana yake juu ya uzuri sa isitake jibu la kufanana au lapamoja wakat kila mtu anavigezo vyake vya kusema huyu ni mzuri au huyu ni mrembo .

Ni sawa na neno shida ww unaweza ukawa na shida ya chakula hujala ila kuna mwingne shida yake ni millioni 200 imepungua anataka fanya kitu na ajui ataipata vp
 
inategemea tako si kila kitu kwa wanaume wote, wengine tunapenda wanawake portable kama yule stand up comedian (neila manga).
Huyo wa pichani ni portable, ana shepu iliyoenda shule, ana smile utadhani malaika ni mweupe sana ni wa Kanda ya ziwa asiposepa na ng'ombe wangu 30+ mungu atakuwa ameniona.
 
Mkia babuuu...biashara ya kondoo mkia
 
Ila Hawa viumbe wakishajiona warembo huwa wanakuwa na contempt, duh!
 
Mi sura ya mwanamke huwa ni kigezo cha pili.

Kigezo cha kwanza nampenda mwanamke mwenye maringo, nyodo na matusi bila kujali sura yake.

Nadhani nimeumbwa na roho ya ushindani, hili nikiri tangia mdogo nilipenda sana ushindani, iwe michezo, ubishi kwenye maongezi, ama ugomvi wa kupigana, yaani nilipenda sana ligi.

Sasa mwanamke mwenye maringo, moja kwa moja hujikuta nimevutiwa naye na kumpenda.

Ninayemtongoza akanitolea nje kwa nyodo ama matusi, huyo huwa kayatafuta matatizo, anayenikwepa kwa staha huwa simfuatilii wala simuwazi tena.

Mwenye nyodo ama matusi huwa lazima nimlale kwa njia zozote zile, ziwe za halali, nusu halali ama haramu, yaani za vitisho, vishawishi vya uongo ama kwa kuhonga pakubwa ili siku moja nijikute tu nipo juu ya kifua chake na nijione mshindi, yaani nimemshinda yeye na kuisambaratisha ngome aliyokuwa akiringia.

Hapo roho yangu hupata amani na utulivu na kujikuta nampenda kwa kumzimikia kwa dhati kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…