secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Wakuu nina swali ambalo nilishawahi kuwauliza watu mtaani lakini majibu waliyonipa hayajiniridhisha. Sasa kwa kuwa JF ni jukwaa lenye watu wenye profession tofauti tofauti natumai nitapata majibu yatakoyonikonga moyo.
Swali langu ni kwamba ni vigezo gani ambavyo wanaume hutumia kupima urembo wa mwanamke, je ni rangi yaani weupe, weusi au maji ya kunde. Je ni kimo yaani urefu au ufipi.
Ni umbo Kwa maana ya namba 8, mwembamba au chibonge. Ni wazi kuwa watoto wa 2000 wanapenda wanawake wenye big nyash na ni dhana ya big nyash iliyomfanya kijana mmoja kumtongoza mwanamke wa miaka 58, nilicheka sana alipokaripiwa na yule mama.
Binafsi nimempenda Binti mmoja lakini sijui kigezo nilichotumia mpaka nikamwita mrembo naye ni huyu hapa chini pichani (sura yake nimeificha asije akakuchanganya ukaacha kufanya shughuli zako) wewe je!