Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Najipigiza chini, ukutani, naruka ruka, napigapiga miguu chini kwa nguvu halafu namalizia kwa kulia.
Kulia
Na sisi wanaume tunaruhusiwa kuchangia?
Sikasirikagi
4....Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?
1. Unalia?
2. Unakaa kimya?
3. Unapigana?
4. Unamuomba Mungu
5. Unamcomfront na kumfokea alikuudhi?
6. Unasikiliza music?
7. Unatoka out?
8. Unaongea na Baby?
Na ukilia unazidi kua mzuri...Kulia
NakaziaSikasirikagi
Ndio nipo hivyo sikasirikagi, nikufundishe mbinu?Mmmmh