Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 395
- 1,195
Nikilala tuu asila zote zimeisha maisha yanaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujiliza Son,
Sawa daughter 😂Acha kujiliza Son,
Hilo jina,una hamu ya kulia..Sawa daughter 😂
Na ntalia vibaya.. 😂Hilo jina,una hamu ya kulia..
Huwa unanyamaza mwenyewe au Hadi ubembelezwe,Na ntalia vibaya.. 😂
Akiwepo mbembelezaji sinyamazi hadi nibembelezwe. 🫣Huwa unanyamaza mwenyewe au Hadi ubembelezwe,
Don't be too hard... mapenzi na akili hayaendani.Hapo sawa,nikajua zile style kununuliana maua,sijui KADI tena uandike kwa mkono,lol..
Teach me how kubembeleza,maana me wifi yako akinuna,namkaushia kisirani kikiisha atanitafuta