Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja.
Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio?
NB1: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio hoja sana kwa maana bado kutakuwa na watu wanaowaibia waajili wao hata kama wanalipwa maslahi mazuri.
NB2: Naomba nirekebishe kidogo title - ni STAFF WASIO WAAMINIFU maana wapo walio waaminifu japo mara nyingi ni wachache