Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Binadamu hatujawahi kuridhika na kipato, kupigwa hakukwepeki hasa ukiwa muajiri.Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja.
Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio?
NB: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio hoja sana kwa maana bado kutakuwa na watu wanaowaibia waajili wao hata kama wanalipwa maslahi mazuri.
Wewe sema una biashara gani ili tujue jinsi ya kukushauri.Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja.
Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio?
NB: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio hoja sana kwa maana bado kutakuwa na watu wanaowaibia waajili wao hata kama wanalipwa maslahi mazuri.
nimenote kiongozi asanteWeka security systems za kudhibiti wezi. Fukuza kazi haraka kila jizi
Ungetaja na aina ya biashara ingekuwa vizuri zaidi!Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja.
Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio?
NB1: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio hoja sana kwa maana bado kutakuwa na watu wanaowaibia waajili wao hata kama wanalipwa maslahi mazuri.
NB2: Naomba nirekebishe kidogo title - ni STAFF WASIO WAAMINIFU maana wapo walio waaminifu japo mara nyingi ni wachache
Inategemea na aina ya biashara, kuna biashara kutokuibiwa kabisa ni ngumu ingawa unaweza ukapunguza hata kwa kuweka camera hapo ofisini kwako nje ndani.Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja.
Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio?
NB1: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio hoja sana kwa maana bado kutakuwa na watu wanaowaibia waajili wao hata kama wanalipwa maslahi mazuri.
NB2: Naomba nirekebishe kidogo title - ni STAFF WASIO WAAMINIFU maana wapo walio waaminifu japo mara nyingi ni wachache
Hii ya mwisho sasa itakuwa dadas aseeBinadamu hatujawahi kuridhika na kipato, kupigwa hakukwepeki hasa ukiwa muajiri.View attachment 3191942
hayo
Fuata huu ushauri mkuu karibu Dar ITcare solutions tumalize jambo lako mawasiliano:0624576521Tumia Security system ikiwepo CCTV cameras na uwe unazikagua, ikiwezekana weka mfuko mzuri wa kujua wa stock (stock management systems) kuna software kibao zinazosaidia kurecord kila bidhaa inayoingia na kila inayotoka na inaonyesha stock iliyobakia na hakikisha unakagua hayo yote uki compare na fedha ya mauzo iliyoingia kwa siku, wiki na mwezi. Hata kama wataweza kukuibia ila kwa kiasi kikubwa utakua unepunguza wizi. Usisite kumchukulia hatua kali na haraka yeyote atakae kiuka taratibu.
Inventory management systems + CCTV cameras installationFuata huu ushauri mkuu karibu Dar ITcare solutions tumalize jambo lako mawasiliano:0624576521