Unatumia mswaki gani?


Little more wana vitu vizr sana
 
hazina ubora
Kuna miswaki ya Colgate mizuri ORG na Kuna mamiswaki laini Sana yameandikwa Colgate lakini SI ya Colgate hayana ubora. Yakupasa kuwa making katika kuchagua
:. Miswaki Bora ya Colgate huuzwa kwa 1500/- Hadi Elfu 2000/-
 
Wapi inapatikana zaidi?
Haiuzwi popote bali inaambatanishwa na dawa yake ya meno inayotoka Uarabuni ambayo inauzwa elfu nne mpk tano inapatikana kwenye maduka machache mimi baada kusoma ,kuona na kutest qualify ya dawa niliisaka sana mpk nikaipata
 

Little more ile miswaki wanayouza ya kichina ni mizuri kwakweli brush yake laini haiumizi fizi.
 
Nami pia pamoja na familia tunatumia hii naiita 'SUREE' kiukweli ni mizuri sana ni soft pia yaani ina raha yake sitegemei kubadilisha maybe kama kuna ambayo ni zaidi ya hiyo naomba kujua maybe nikajaribu

For now sina mswaki mwingine natumia hii brand tu.
 
Baada ya kusoma huu uzi nikaamua kufanya maamuzi ya hii miswaki ya umeme ( electrical toothbrushes).Nilichogundua ni mbingu na ardhi, Yaani ni sawa na mtu asafishe carpet na vacuum cleaner mwingine atumie fagio la kawaida .
Tusiishi kwa kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…