rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Kila baada ya miezi miwili
Kila mwezi wakati nafanya groceries shopping nanunua mswaki mpya na dawa.
Uko kama huu??Ndio hivo sasa,
Mswaki??? Huwa ninayo mitatu pale chumbani, loooh na mmoja kwenye pochi (usicheke);
Naibadilisha ninapopenda, even in a month period........ ndo maisha ya mujini
Chimbuvu hakatwi mtu hapa............Ndio hivo sasa,
mam hongera sana, inabidi niige staili yako, mi nimekaa na wangu mpaka nikasahau nimenunua lini ikabidi niulize wenzangu hali ikoje..Mswaki??? Huwa ninayo mitatu pale chumbani, loooh na mmoja kwenye pochi (usicheke);
Naibadilisha ninapopenda, even in a month period........ ndo maisha ya mujini
duh, kama unayo mingi nawasiwasi kama kuna jino lililobaki la kuswakiwahata sijui maana nna miswaki mingi