mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida.
Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia ni heri ya mdudu chungu aliyejiwekea akiba ,so akiba is inevitable. Kibiblia saving ni lazima na muhimu Kwa watu wenye utimamu wa akili na mwili, anzia mithali 21:20
Leo nikiwa Sina hili wala lile amekuja mke wa jirani yangu kuwa ametumwa na mumewe niwapatie pesa kiasi wanakatie eneo lao la uwanja wao maana mume anaumwa na tatizo ni uvimbe kwenye ubongo so inatakiwa pesa ya matibabu , ni kweli nimewapa pesa kama milioni Moja na nusu, wameelekea hospital
Niwe mkweli nimeumia sana katika hili nikikumbuka maisha ya jirani yalivyokuwa na mbwembwe na hapa alipofikia imenichanganya ila kilichotokea ni yeye kukosa akiba .
Je wewe unatumia mbinu gani kujiwekea akiba tupeane ujuzi tujifunze maana wote hapa siku za tabu zinakuja zitakazo hitaji pesa Yako uliyoisave ukiwa sawa ikusaidie , tazama maisha ya wastaafu wa TAMISEMI utajifunza jambo kwao