Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Fajoki, Mousuf, Savage , Suave ,club de Nuit , LegendPerfume haipuliziwi kwenye nguo hiyo namba moja.
Mbili, em utaje aina za Perfume unazotumia (hizo 6).
Tatu, Perfume nzuri ni kuanzia 50k kama unatumia hizi za elfu mbili mbili tegemea hayo.
Nne, jitahidi kufata principles za matumizi na utunzaji wa perfumes.
Sauvage inategemea, original hapa Bongo ni chache sana nyingi ni fake.. pia za kupima atleast zinakaribiana na original.Fajoki, Mousuf, Savage , Suave ,club de Nuit , Legend
Sasa naipataje kitu OG ,wengine tuko Mkoani hivo Mara nyingi tunapambana na hali.Sauvage inategemea, original hapa Bongo ni chache sana nyingi ni fake.. pia za kupima atleast zinakaribiana na original.
Mousuf inategemea na nani kutengeneza mara nyingi fragrance world ndio kajaza mzigo hapo kkoo na ukiona fragrance zao hao jamaa kimbia ni fake..
Perfume inaweza ikawa na jina genuine ila ni COPY so tegemea ita last for few seconds.
Let's Imagine na Dolby.Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .
Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.
Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu , nisaidieni Pafyumu nzuri ya Kiume ambayo harufu yake inaweza kukufanya uliwe kimasihara !!
Hili swala la kuwahi kuisha nguoni, inakera sana kwa sababu unakuwa na perfume moja nyumbani, kwa gari kwa sababu haikai kabisa either mwilini au kwenye nguoMazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .
Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.
Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu , nisaidieni Pafyumu nzuri ya Kiume ambayo harufu yake inaweza kukufanya uliwe kimasihara !!
Mousuf na Sauvage nyingi copy hapa bongoSauvage inategemea, original hapa Bongo ni chache sana nyingi ni fake.. pia za kupima atleast zinakaribiana na original.
Mousuf inategemea na nani kutengeneza mara nyingi fragrance world ndio kajaza mzigo hapo kkoo na ukiona fragrance zao hao jamaa kimbia ni fake..
Perfume inaweza ikawa na jina genuine ila ni COPY so tegemea ita last for few seconds.
Taja bajeti yako tuone.Sasa naipataje kitu OG ,wengine tuko Mkoani hivo Mara nyingi tunapambana na hali.
Sure.. FRAGRANCE WORLD hao wameweza kujaza duplicates za kutosha.Mousuf na Sauvage nyingi copy hapa bongo
Isizidi 300 K.Taja bajeti yako tuone.
Alafu perfume recommended nyingi na wabongo ni zile zile.. creed , sauvage, mousuf sijui club de nuit etc etc.. end of the day ukiwear perfume kila mtu anaijua au anafananisha na scent ya mtu fulani..
Try uwe tofauti na utengeneze your own signature.
Perfume OG agiza nje, nzuri uanzie na 300k kwa mls 50-80-100. Mfano creed OG si chini ya 700k huku Bongo mtu anasema anatumia creed ukimuuliza bei anataja elf 20.
150mls, Perfume ipi?.Una laki 3 kwa 150mls ?
Afu kwanini Pafyumu wa kiume?
150mls, Perfume ipi?.Una laki 3 kwa 150mls ?
Afu kwanini Pafyumu wa kiume?
Hela anayo?Creed Aventus
(Claus Porto Musgo Real Alto Mar) tafuta hiyo.. then tafuta na fragrance nzuri ya KIKE.Isizidi 300 K.