Unatumia Pafyumu gani?

Unatumia Pafyumu gani?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .

Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.

Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu , nisaidieni Pafyumu nzuri ya Kiume ambayo harufu yake inaweza kukufanya uliwe kimasihara !!
 
Perfume haipuliziwi kwenye nguo hiyo namba moja.

Mbili, em utaje aina za Perfume unazotumia (hizo 6).

Tatu, Perfume nzuri ni kuanzia 50k kama unatumia hizi za elfu mbili mbili tegemea hayo.

Nne, jitahidi kufata principles za matumizi na utunzaji wa perfumes.
 
Fajoki, Mousuf, Savage , Suave ,club de Nuit , Legend
 
Sauvage inategemea, original hapa Bongo ni chache sana nyingi ni fake.. pia za kupima atleast zinakaribiana na original.

Mousuf inategemea na nani kutengeneza mara nyingi fragrance world ndio kajaza mzigo hapo kkoo na ukiona fragrance zao hao jamaa kimbia ni fake..

Perfume inaweza ikawa na jina genuine ila ni COPY so tegemea ita last for few seconds.
 
Sasa naipataje kitu OG ,wengine tuko Mkoani hivo Mara nyingi tunapambana na hali.
 
Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .

Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.

Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu , nisaidieni Pafyumu nzuri ya Kiume ambayo harufu yake inaweza kukufanya uliwe kimasihara !!
Let's Imagine na Dolby.
 
natumia stranger hii nilihongwa na dem alinunua elfu 50 makumbusho pale umeme iyo alafu nna UDV hii og yake ipo ila nilienda kwa copy ya buku 5 ila inakaa kimtindo body spray nilikuwa natumia nivea dry impact ila saiv hazipatikani sokoni kabisa.
 
Sauvage,Gucci oud intense,Missioni,Lapidus,Armani stronger with you.
 
Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .

Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.

Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu , nisaidieni Pafyumu nzuri ya Kiume ambayo harufu yake inaweza kukufanya uliwe kimasihara !!
Hili swala la kuwahi kuisha nguoni, inakera sana kwa sababu unakuwa na perfume moja nyumbani, kwa gari kwa sababu haikai kabisa either mwilini au kwenye nguo
 
Sauvage inategemea, original hapa Bongo ni chache sana nyingi ni fake.. pia za kupima atleast zinakaribiana na original.

Mousuf inategemea na nani kutengeneza mara nyingi fragrance world ndio kajaza mzigo hapo kkoo na ukiona fragrance zao hao jamaa kimbia ni fake..

Perfume inaweza ikawa na jina genuine ila ni COPY so tegemea ita last for few seconds.
Mousuf na Sauvage nyingi copy hapa bongo
 
Sasa naipataje kitu OG ,wengine tuko Mkoani hivo Mara nyingi tunapambana na hali.
Taja bajeti yako tuone.

Alafu perfume recommended nyingi na wabongo ni zile zile.. creed , sauvage, mousuf sijui club de nuit etc etc.. end of the day ukiwear perfume kila mtu anaijua au anafananisha na scent ya mtu fulani..

Try uwe tofauti na utengeneze your own signature.

Perfume OG agiza nje, nzuri uanzie na 300k kwa mls 50-80-100. Mfano creed OG si chini ya 700k huku Bongo mtu anasema anatumia creed ukimuuliza bei anataja elf 20.
 
Isizidi 300 K.
 
Back
Top Bottom