Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ndio ipi hiyo?Sabuni ya Manjano
Sabuni ya magadi do me right...hutojutia ukitumia hii
Kumbe, ngoja nitulie hapa njia kuu kwenye magadiSabuni ya magadi ndio mpango mzima.hzo zengine ni mbwembwe tu.
Huwa najiuliza sana, kile kikaratasi kinadumu sana, sijui nini siri ya mafanikioHivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Bado ipo au nayo haipatikani?Mimi nilikuwa natumia Gardenia nilikuwa naipenda sana...
Ina povu flani amazing sana!Sabuni ya magadi ndio mpango mzima.hzo zengine ni mbwembwe tu.
Roberts medicated soapNimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.
Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama zimepotea hivi.
Je, kwa sasa huwa unatumia sabuni gani wakati wa kuoga?mimi siku hizi sijui kwaajili ya ubahili, natumia tu Jamaa zile za Kenya. Wewe je? Tiririka...
Revola was the best hizi kampuni sijui kwanini huwa zinakufa na kulikua na mafuta ya kupakaa ya YU na Yolanda
Wakati ule wa break ya taarifa ya habari inayosomwa na Betty Mkwasa ITV miaka ya 1997 na 1998, baada ya habari za kitaifa utaskia tangazo:-Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.
Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama zimepotea hivi.
Je, kwa sasa huwa unatumia sabuni gani wakati wa kuoga?mimi siku hizi sijui kwaajili ya ubahili, natumia tu Jamaa zile za Kenya. Wewe je? Tiririka...
Mhhh...!Revola was the best hizi kampuni sijui kwanini huwa zinakufa na kulikua na mafuta ya kupakaa ya YU na Yolanda