Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Me nafikiri Imperial ni moja kati ya sabuni bora za kuogea kuwahi kutengenezwa kwa huku dunia ya 3Mimi natumia imperial hii ni sabuni niliyotumia toka nikiwa mdogo, huwa nikiwa bafuni nikisikia ile harufu yake inanikumbusha nyumbani.