Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Hakuna mtu hajawai tumia hii msizuge hapa[emoji12][emoji12]
eva1.jpeg
 
Revola peke yake?ndiyo kwani maisha yake ni tulivu....kitambo aise
Wakati wa break ya taarifa ya habari inayosomwa na Betty Mkwasa ITV miaka ya 1997 na 1998, baada ya habari za kitaifa utaskia tangazo:-

Nieleze siiiri ya urembo wako......''sio sirii ni Revola''

Tinti..ndiiii
 
Me natumia Jamaa ambayo inapatikana kwenye sabuni ya unga ya Toss... toss yenyewe imechakachuliwa saivi mbayambaya tu wala ndani huikuti hiyo jamaa
 
Ah wapi!

Mbona ni sabuni ya kawaida tu.

Naona hicho kichupa kinawazuzua eeh?

Chukulia kama soda iliyopo kwenye chupa na iliyopo kwenye kopo. Hazinaga tofauti...
Tofauti ipo aisee

Huwezi fananisha harufu ya hizo na Jamaa hata kama zote ni sabuni

Kuna Mzungu alikuja ''summer trip'' shuleni tukiwa O-level akatugawia sabuni ya Dove for men na ya Nivea ya shower gel moja moja kwenye chupa kama hiyo.

Ile Dove sijawahi kuonaga tena bongo hata kwenye S'market mpaka leo na ukiogea ina harufu nzuri sana na hata usipojipaka mafuta inakung'arisha kama vile umejipaka, na Nivea naonaga tu body lotion na face wash.
 
Familia za akina sisi maswala ya sabuni za kuogea ndo hatuyajui wala maana tulikuwa tukizisikia zikinukia kwa watu...
Zetu zilikuwa zilezile za kufulia
Taifa, bendera, kuku, sungura, mshindi, kodrai, rivola, mbuni,
 
Back
Top Bottom