Hapo inabaki chenji 200 nakula mihogo ya kuchomwa mchana na maji ya kudownload siku imepita....cost of living minimizationAisee kwa 500 asubuhi inapita vizuri tu...
Kwani husomi alama za nyakati.....serikali ikibana matumizi ...na raia inabidi abane matumizi ili ku-equate mamboMh kwa hiyo asubuhi na mchana unaimaliza kwa 500. Optimization succeeded
Mia tano tu.
Andazi 1 300 + chai 200
Chai ni kifungua kinywa tu
Sasa unakula vitumbua 10 kumkomoa nani na wakati mchana kuna lunch
Castr atakuwa ni mwanamme wa mkoani, hahahahahahahhahHahaha injini yangu kubwa mkuu
Hahaha 'Mpenda misosi yote'Wapendwa usiangalie mwenzio kala nini na wewe uige, angalia mwili wako unahitaji nini kwa wakati gani? Hatulingani afya zetu, usione mwenzio anafakamia starch kumbe mwili wake unahitaji hio zaidi. Ukiiga anayefakamia protini wakati wewe kwako zimezidi pia ni matatizo.
Chunguza mwili wako unahitaji nini ndo ule, kama husikii njaa usile kabisa ujue siku hiyo mwili unatumia akiba yake ya mwili.
Kasie Mahaba mpenda Misosi Yote!!😉