Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Karibu Mwanza mkuu, hapa ukishinda njaa au kulala njaa labda umependa mwenyewe, maisha upande wa vyakula hayana shida labda kama unachagua/kubagua vyakula.
Maisha ya mwanza n marais sana kama
Dsm tofaut na arusha
 
Hahaha 'Mpenda misosi yote'

Uzi ni kwaajili ya info tu. Hauna lengo la kusababisha mtu amuige mtu. Kwahiyo mpenda misosi tuibie hiyo siri ya asubuhi

Maziwa frersh na mkate wa brown uliopakwa peanut butter, jam na blueband. Sijalipia hata kimoja, vyote vinapatikana ofisini kwa gharama ya ofisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…