Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Pesa ipo Mzee. Mfuko wako ukiwa mwembamba hufuati anga zanguEbwana mbona unaweza kulisha hata nyumba tano kwa gharama hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ipo Mzee. Mfuko wako ukiwa mwembamba hufuati anga zanguEbwana mbona unaweza kulisha hata nyumba tano kwa gharama hiyo?
Haa haa haa nanunua tu in case salioHahaha ebwana hadi vocha ni kifungua kinywa kwako
Sawa mkuuKunywa kunywa maji yanasaidia chief
Chapati 2@300/=Heshima yenu wadau.
Nimekaa muda huu nikakumbuka kifungua kinywa changu. Nimekula vitumbua 10 na supu ya utumbo.
Kitumbua kimoja shilingi 100 hivyo nimetumia 1000 kwa ajili ya vitumbua. Supu ni 500.
Jumla asubuhi nimetumia 1500.
Mwenzangu unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya asubuhi?
Hapo sasa nimeelewa mkuuMchana sili mkuu.