Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Buku tu..chapati mbili 250@ na juice ya500
Mihogo au viazi vya kukaanga vya 500 na juice kama kawa ya 500
 
Supu 2500
Chapat mbili 1000
Chai ya maziwa 300
Maji liter 1,. 600
Vocha ya 1000

Nb,haya matumiz nayafanya
Nkiwa kwenye ardhi ya magu 255
Hahaha ebwana hadi vocha ni kifungua kinywa kwako
 
Chapati 2@300/=

Chai 200/=

Jumla 800/=
 
Kiporo kinaniokoa hasa kikiwa cha wali maharage au wali kisamvu [emoji4][emoji4]
gharama hua ni maji ya lita moja AFYA 800... lol.
We na we hama huko ulipo, lita moja Afya ni 500 lita 1.5 ni 700.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…