Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Mama wa Tandale hebu dadavua ndo kunakua na nini na nini kwenye Full english breakfast
Yai jicho la ng’ombe, sausage, bacon, nyanya, uyoga, maharage na viazi vya kukaan pamoja na kipande cha mkate
 
Buku tu..chapati mbili 250@ na juice ya500
Mihogo au viazi vya kukaanga vya 500 na juice kama kawa ya 500
Huku wamepandisha chapati 300. Unakaa mtaa gani nihamie huko niendelee kupunguza gharama za chai
 
Hahaha 'Mpenda misosi yote'

Uzi ni kwaajili ya info tu. Hauna lengo la kusababisha mtu amuige mtu. Kwahiyo mpenda misosi tuibie hiyo siri ya asubuhi
Watu wengi hawajui kua breakfast ndio unatakiwa ule "vizuri" kuliko hata lunch na dinner.
 
Chapati mbili 500 + Maharage ya 500 jumla buku,nategeshea mida ya saa 4 nikipiga hii kitu kula tena saa 11 ndio mpaka kesho tena.
 
1. Chapati mbili @ 500/= 1,000/=
2. Chai ya Maziwa kikombe kimoja @ 500/= 500/=
3. Karanga za kukaangwa pakcet moja @ 500/= 500/=
Jumla 2,000/=
Unakula ki-JKT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…