Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Hii tunaita kujitambua [emoji28]! Unaweza nunua ya kupima yenye harufu uipendayo kwa bei chee tu yani kwa 35K unapata ujazo wa kuridhisha tu [emoji2956] ukipata mtu ambaye anajua kukumiksia na long lasting content inakuwa nzuri tu kama zile za OG mnazopigwa 250,000-500,000
[emoji3]tupe chimbo hilo la vya kupima nasi tunukie kwa bei chee
 
Sawa mkuu, huo ni mtazamo wako na upo huru kuishi na kutoa msaada kadri unavyojiskia, sema tu binadamu tunatofautiana kwa mitazamo na roho za kutoa!
Yuko ambaye yu tayari kujinyima ili asaidie wengine na yupo ambaye hata awe na ziada mpaka aje kukusaidia ni shughuli pevu!
Pata pesa tujue tabia yako.
 
Back
Top Bottom