Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wakuu,

Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake kutokana ya aina ya muziki anaopendelea,wengine huweka mahubiri,wengine sauti ya wanyama,background za movie nk.

Na kuna wale wa vibration full time(hawa ndio nahisi huwa hawapokei namba ngeni(sijui kwanini[emoji848][emoji3])

Pia,wengine huweka ili kutofautisha aina ya wapigaji kwenye simu yake.

Mimi natumia wimbo wa Man down wa Rihanna sababu unaanza na beat zuri lililochanganika na king'ora cha polisi hivyo ni rahisi kusikia.

Wewe unatumia ringtone ipi? na kwanini?

Karibu.

]
 
Mkuu hiyo kutuwekea video/audio inayotupeleka direct YouTube tayari umempa promo na kumuongezea shekeli dadako, maana tunaenda kusikia ringtone yako kwa kuangalia sinema ya wimbo, daa!.
 
[emoji3]Mkuu kuna wengine hawaujui kwahio nawarahisishia,kama unaujua hakuna ulazima
 
Wakuu,

Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake kutokana ya aina ya muziki anaopendelea,wengine huweka mahubiri,wengine sauti ya wanyama,background za movie nk.

Na kuna wale wa vibration full time(hawa ndio nahisi huwa hawapokei namba ngeni(sijui kwanini[emoji848][emoji3])

Pia,wengine huweka ili kutofautisha aina ya wapigaji kwenye simu yake.

Mimi natumia wimbo wa Man down wa Rihanna sababu unaanza na beat zuri lililochanganika na king'ora cha polisi hivyo ni rahisi kusikia.

Wewe unatumia ringtone ipi? na kwanini?

Karibu.

]

Mimi huwa natumia default ringtone ya simu. Siweki muziki kama ringtone toka nianze kunyemelea uzee
 
Back
Top Bottom