Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Chorus ya "ENZI ZA UTOTONI" yake SONGA

Ila Mpaka sasa sijui maneno yanayoimbwa na kale katoto.

"Am your soul, am swi swii...mmmh...[emoji2788]

[emoji23]
Huu mbona siujui,msanii ni nani?
 
Zamani nilikua napenda sana, ila siku hizi sijui ndio uzee najikuta natumia hizo hizo zinazokuja na simu

Ila pia mara nyingi simu inakua kwa vibration mode.
[emoji3][emoji3],eti uzee,au nawewe huwa hupokei namba ngeni?
 
Device built-in
Screenshot_20230204-204651.jpg
 
Back
Top Bottom