ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #21
Sasa kama kete Jero mkuu hapo hufaidi ndo bei elekezi kote nikajua Jero stick mbiliMm nanunua rejareja, kipisi jero nasomoka vzr tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama kete Jero mkuu hapo hufaidi ndo bei elekezi kote nikajua Jero stick mbiliMm nanunua rejareja, kipisi jero nasomoka vzr tuu.
🤣🤣🤣 ulisema alikuambukiza nini mkuu?Mfundishe na Mwa J wangu atuliage mbwa yule, nishachoka kunywa azuma...🤨🤨
Bado hajapona uti yenye grade yake ya juu kabisa...😒🤣🤣🤣 ulisema alikuambukiza nini mkuu?
Aisee 🤣Bado hatapona uti yenye grade yake ya juu kabisa...😒
Ila ndo bei yake tangu kitamboSasa kama kete Jero mkuu hapo hufaidi ndo bei elekezi kote nikajua Jero stick mbili
SereneView attachment 2957841View attachment 2957851MUFINDI. Halia ya hewa tulivu yenye kuboa kimtindo karibuni
Sehemu gani apo Mango.Mi niko mwanalomango na mvua hizi tunawazidi tope na ubanda
KumbeeeMkuu nataka kitu cha kufaidi mfano matunda ama nyama
What...!Ngono ☺️☺️☺️☺️☺️☺️tena zembee
Hivi hadi leo unamuwaza To yeye huyu mzee aliniambiaga anakutaka sana ila anaogopa maana anauza mikaaUnaelekea kupokea mshahara mkuu, punguza misele...😜
Secondary??Shuleni
EH nikuonyeshe text zetu🤣🤣🤣 wee,sema kweli?
No no,,,usijaribu kuweka vitu vya private hapa public...utachukiwa Na wengi cute bila wewe kujuaEH nikuonyeshe text zetu
Sina hata hichi kizee nilikuwa na text naye kipindi cha ugeni nilipojua kana uza mkaa nikakakimbia 🤣🤣🤣🤣No no,,,usijaribu kuweka vitu vya private hapa public...utachukiwa Na wengi cute bila wewe kujua