Unatunyima nini huko ulipo?

Unatunyima nini huko ulipo?

Kimara kitimoto. Kila unapokwenda Ni fresh ya Leo Leo.
Roast nakula pale pala na kavu kilo mbili maondoka nazo, kipindi naangalia tv kavu inakua jirani naitafuna Kama wengine wanavyokula popcorn.
Kimara Raha Sana.
 
Back
Top Bottom