Wengine hurudi nazo nyumbani na wengine hufungia kwenye safe dukani! Wewe unazitunza vipi? Naomba mchango hasa wale wanaofanya biashara za M-Pesa, Tigo-pesa na wengine!
Aisee hata mimi huwa napata shida sana wakati wa kufunga biashara yangu jion kwani kuondoka na pesa usalama ni mdogo ngoja nifanye mpango wa kununua safe.japo kwa sasa huwa naondoka nazo hivyo hivyo kiroho ngumu.