Unatunzaje Pesa yako unafunga Biashara jioni?

Unatunzaje Pesa yako unafunga Biashara jioni?

Musasa

Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
23
Reaction score
6
Wengine hurudi nazo nyumbani na wengine hufungia kwenye safe dukani! Wewe unazitunza vipi? Naomba mchango hasa wale wanaofanya biashara za M-Pesa, Tigo-pesa na wengine!
 
nipo kk mauzo b4 saa kumi yote napeleka benki,
 
Aisee hata mimi huwa napata shida sana wakati wa kufunga biashara yangu jion kwani kuondoka na pesa usalama ni mdogo ngoja nifanye mpango wa kununua safe.japo kwa sasa huwa naondoka nazo hivyo hivyo kiroho ngumu.
 
Hela peleka bank mkuu ila hakikisha hakuna mtu anaejua unaenda lini na saa ngapi huko bank, yaani uwe husomeki ni mda gani unaenda
 
Back
Top Bottom