Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Mmemsikia akipayuka maneno ambapo hata akiulizwa ameongea nini, hajui.
Anasema wanaharakati ni sawa na magaidi. Kwa hiyo Nyerere na wenzake waliopigania uhuru wetu walikuwa ni magaidi?
Tangu kabla, wakati na baada ya mauaji ya kimbari 29 Oktoba 2025, bado utekaji, utesaji, upotezaji, ufiraji na mauaji ya raia vinaendelezwa na vyombo vya ulinzi na usalama na hatua za kukomesha hazipo. Na mnalazimisha maridhiano ya kisiasa ili kuepuka vikwazo.
Mnaridhiana vipi na watu mnaoendelea kuwaeinda ili muwaue?
Watanzania siyo wapumbavu kama mnavyolazimisha wawe hivyo