Unaujua Mtori?

Unaujua Mtori?

Ndo maana nikasema inapendeza ukiwa home,....
asubuhi sana au jioni,....raha mpaka kisogoni.

Hata kama ulikuwa mvivu mechini lazima damu ichemke siku hiyo.

Khaaaaaa!!
 
Inasemekana mtori una husika sana katika kutengeneza
afya yako na kukuwezesha kumudu vyema maisha ya "ndoa".

Nime jifunza kuutengeneza,ningependa ujue pia na ujaribu mara moja moja.

6. Weka maji ndani ya sufuria kisha zichemshe ndizi mpaka ziwe laini kidogo.
7. Zimwage maji ndizi kisha mimina supu na nyama ndani ya ndizi.
8. Mimina nazi pili pili na bizari nusu kijiko ndani ya ndizi na uziweke kwenye jiko zichemke mpaka zibakie na urojo kiasi. Onja chumvi na uongeze kadri utakavyopenda.
9. Weka pembeni zipoe.
10. Pakua ndizi kwenye sahani au bakuli tayari kwa kuliwa.

Mtori wa dizaini hii sijawahi kuula................. unapika lini unialike??
 
Mtori wa dizaini hii sijawahi kuula................. unapika lini unialike??

Jioni nakula makande,.........
426234_310555872334159_100001392453826_871144_206091597_n.jpg

kesho asubuhi sana nakula mtori.
 
Mtori wa nazi??? Sijawahi ona!

same to me,labda kwa kuwa nimezoea mbute

Haya ndio matatizo ya watanzania.....na ndio maana hatuendelei.
Mtanzania anaweza muona mwenzake anaingia motoni akafumba macho tu
kisa haimhusu.

Mimi sio mchaga,nilielekezwa hivyo.
Ukiona nimekosea basi sema haupikwi hivyo ni hivi..............
Lakini mnabaki tu sio hivo,sijawahi ona,.............mmmmmmh

I reserve my last statement.
 
mbona hujataja aina gani ya ndizi zitumikazo vilevile nyama ya mnyama yupi ni poa zaidi...
 
Haya ndio matatizo ya watanzania.....na ndio maana hatuendelei.
Mtanzania anaweza muona mwenzake anaingia motoni akafumba macho tu
kisa haimhusu.

Mimi sio mchaga,nilielekezwa hivyo.
Ukiona nimekosea basi sema haupikwi hivyo ni hivi..............
Lakini mnabaki tu sio hivo,sijawahi ona,.............mmmmmmh

I reserve my last statement.

Hahahhahahhahaaaaaaaa! Sasa wewe clemmy kumbe hata kupika kwenyewe hujui halafu unakuja hapa na bandiko kubwa kutufundisha kupika.............lol. Kama nakuona vile 😛hoto:😛hoto:. Ungekuja hapa kama mwanafunzi bana na si mwalimu.........lol.

Asante kwa kunichekesha..ijumaa yangu imeisha vizuri...
 
Jamaniiiii,
Clemmy yuko likizo bana amerudi Speaker mwenyewe.
Tufundishe basi plz,....mimi nimetoa nacho jua lakini nyie mnajua
zaidi afu mna kalia utaalamu wenu dah.
 
Mtori unao ujua wewe ukoje?

mtori ndizi lazima zipondwe, kuna kifaa cha cha kupekecha, ila siku hizi wanatumia blenda pia kusaga ndizi. Kuna mdau ameposti picha ya mtori

huo wako ni ndizi nyama, ila umepika sahihi ulivyotia nazi maana nazi inafanha ndizi nyama ziwe taaaaaamuuuuuuuuu

loh nitapika kesho......
 
Back
Top Bottom