Ndo maana nikasema inapendeza ukiwa home,....
asubuhi sana au jioni,....raha mpaka kisogoni.
Hata kama ulikuwa mvivu mechini lazima damu ichemke siku hiyo.
Mtori wa nazi??? Sijawahi ona!
Inasemekana mtori una husika sana katika kutengeneza
afya yako na kukuwezesha kumudu vyema maisha ya "ndoa".
Nime jifunza kuutengeneza,ningependa ujue pia na ujaribu mara moja moja.
6. Weka maji ndani ya sufuria kisha zichemshe ndizi mpaka ziwe laini kidogo.
7. Zimwage maji ndizi kisha mimina supu na nyama ndani ya ndizi.
8. Mimina nazi pili pili na bizari nusu kijiko ndani ya ndizi na uziweke kwenye jiko zichemke mpaka zibakie na urojo kiasi. Onja chumvi na uongeze kadri utakavyopenda.
9. Weka pembeni zipoe.
10. Pakua ndizi kwenye sahani au bakuli tayari kwa kuliwa.
ungeweka picha,ingependeza zaidi.wengine tushibe kwa kuangalia picha tu
Mtori wa nazi??? Sijawahi ona!
same to me,labda kwa kuwa nimezoea mbute
Ndiyo wambandwa.
Haya ndio matatizo ya watanzania.....na ndio maana hatuendelei.
Mtanzania anaweza muona mwenzake anaingia motoni akafumba macho tu
kisa haimhusu.
Mimi sio mchaga,nilielekezwa hivyo.
Ukiona nimekosea basi sema haupikwi hivyo ni hivi..............
Lakini mnabaki tu sio hivo,sijawahi ona,.............mmmmmmh
I reserve my last statement.
Jioni nakula makande,.........
kesho asubuhi sana nakula mtori.
Naona umekaa kama soup vile.
Hapo umenikumbusha mwadui mana tukienda chukua almasi lazima tule hio kitu :biggrin:Jioni nakula makande,.........
kesho asubuhi sana nakula mtori.
Hahahhahahhahaaaaaaaa! Sasa wewe clemmy kumbe hata kupika kwenyewe hujui halafu unakuja hapa na bandiko kubwa kutufundisha kupika.............lol. Kama nakuona vile πhoto:πhoto:. Ungekuja hapa kama mwanafunzi bana na si mwalimu.........lol.
Asante kwa kunichekesha..ijumaa yangu imeisha vizuri...
Mtori unao ujua wewe ukoje?