MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Je, unajua Hydatidosis?
Kwa kifupi ni ugonjwa unaomuathiri binadamu na wanyama tunaowafuga kama ng'ombe, kondoo na mbuzi. Ugonjwa huu huathiri zaidi maini, mapafu, moyo, bandama na wakati mwingine hata ubongo na mifupa kotekote kwa binadamu na wanyama niliowataja (ruminants). Mwambukizaji mkuu wa ugonjwa huu ni mbwa.
Hebu angalia kidogo sehemu ya ini iliyoathiriwa ya mbuzi na ng'ombe. Hiyo ni sehemu ya utafiti wangu nilioufanya Dodoma juzi kati, tatizo ni kubwa kwa wanyama, na hii ni ishara kwamba hata kwa binadamu tatizo lipo katika jamii zetu ila watu wanaugua bila kujua anaumwa nini. Matokeo yake mtu anaweza kupoteza maisha, halafu tukabaki kusingizia ushirikina.
Tuamke tuzuie Hydatidosis (minyoo ya mbwa).
Jamani kwa wale msionijua ni nafasi yenu kuniona. Hapo mwenye yellow cap