JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Kubaliana na hali halisi acha kutamani mambo yawe kama yalivyokuwa awali. Weka akili yako kwenye wakati uliopo kwakuwa huwezi kubadilisha mambo yaliyopita
Usijilaumu sana unapofanya makosa tumia hiyo kama nafasi ya kujifunza. Kufanya makosa hakukufanyi kuwa mpumbavu