Unaumizwa na mambo yaliyopita? Fanya yafuatayo (Sehemu 2)

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
706
Reaction score
1,230


Kubaliana na hali halisi acha kutamani mambo yawe kama yalivyokuwa awali. Weka akili yako kwenye wakati uliopo kwakuwa huwezi kubadilisha mambo yaliyopita

Usijilaumu sana unapofanya makosa tumia hiyo kama nafasi ya kujifunza. Kufanya makosa hakukufanyi kuwa mpumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…