JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo?
Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako?
Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa?
Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee
#JamiiTalks #Msongo
Upvote
4