J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Apr 24, 2021 #1 Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo? Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako? Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa? Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee #JamiiTalks #Msongo Upvote 4
Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo? Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako? Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa? Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee #JamiiTalks #Msongo
Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 May 14, 2021 #2 Kuna vitu vingine vinaumiza kwa mda mrefu, mfano ukishindwa kuoa kutokana na umasikini, au msichana kukosa mme . pia kila unapopambana kiuchumi kila mwaka unafeli
Kuna vitu vingine vinaumiza kwa mda mrefu, mfano ukishindwa kuoa kutokana na umasikini, au msichana kukosa mme . pia kila unapopambana kiuchumi kila mwaka unafeli