Tanzania ina hitaji mabadiliko ya mfumo, unapo ingia vitani lazima ujue ngvu ya adui ikoje upungufu wake ukoje na kwako vilevile kuking'oa chama kilichoota mizizi zaidi ya miaka 50 lazima kujipanga na silaha nzito na wapiganaji hodari
Lengo Lita timia lazima kuwe na mipango mikakati ya kutosha sana hakuna haja ya kuharakisha jambo maana lilo kubwa ni kuona kesho tunakuwa wapya naimani kubwa CCM itaanguka tu
Huyo kikwete ambaye aliingia bila kashfa amefanya nini??? hata huyo maguful akiingia atakua kama kikwete tu..maana ccm wote sawa.....cha muhimu ni kufanya change...na anayefaa kwa ukawa ni lowassa mtu kua na kashfa au kukosea haimaanishi ndio hawez kuongoza... kila mtu anazo kashfa na makosa yake...hakuna mkamilifu duniani......acheni kurudisha mabadiliko nyuma mwaka huu kauli mbiu ni NO CCM HATA ASIMAME MTU GANI. .......kura yangu ni NDIO kubwaa kwa lowasa........
Ikiwa lengo ni kuiangusha CCM halafu ikulu aingie Lowassa (the worst part of CCM); then long live CCM! Chadema kama wanafikiria the next election tu then wafanye hayo wanayotaka kufanya. Watu hawaichukii tu CCM; wanachukia its methods, principles and behaviours. Hawezi kuwa Lowasa rais wa Chadema halafu akafanya tofauti na yale aliyoyafanya maisha yake yote akiwa CCM. Kama kuna mtu anaamini hivyo, simkatalii. Aendelee kuamini manake siko la Kenge .....!!
Nakubaliana na kauli zako ila naimani tutakuwa na bunge kubwa la wapinzani si raisi lowasa akaleta alitakalo itakuwa ngumu kaka tunaitaji kubadili mfumo hata kwa week moja tu
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) unalengo dhahiri la kuleta changamoto katika Siasa nzima ya nchi yetu.Kimsingi ni jambo zuri na la kidemokrasia.
Napenda kusema kuwa Siafiki na sitoafiki kamwe hoja ya UKAWA kumteua EL kama Mgombea rasmi kwa tiketi ya Umoja.Jibu langu ni HAPANA pasipo kubabaika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.