Kwenu Nyote,
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) unalengo dhahiri la kuleta changamoto katika Siasa nzima ya nchi yetu.Kimsingi ni jambo zuri na la kidemokrasia.
Napenda kusema kuwa Siafiki na sitoafiki kamwe hoja ya UKAWA kumteua EL kama Mgombea rasmi kwa tiketi ya Umoja.Jibu langu ni HAPANA pasipo kubabaika.
Wenu,
Dekka,Samwel P.
Chuo Kikuu cha Dodoma.