Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

Ukitendewa chochote kibaya na Mabenki jua BOT hawana msaada labda watoe msaada kwa aliyekukosea na si wewe Muathirika.
Kabisaaa mkuu m nayajua hayaaaa

KUNA mzigooo nilipata Mwaka 2019

Nkashaurwaaa kawekeze utt or bot

Weweee nasikia chookikubwa gafla

Nkawakimbia YAAN niliamua kuinvrst kwenye ujenzi maisha yanaendelea woii
 
Kabisaaa mkuu m nayajua hayaaaa

KUNA mzigooo nilipata Mwaka 2019

Nkashaurwaaa kawekeze utt or bot

Weweee nasikia chookikubwa gafla

Nkawakimbia YAAN niliamua kuinvrst kwenye ujenzi maisha yanaendelea woii
Kampuni yetu , HAIKUWAHI KUFUNGUA ACCOUNT KWENYE BENKI YA CRDB, LAKINI CRDB WALIFUNGUA ACCOUNT NA WAKAPITISHA PESA NA ZIKATOLEWA NA HAWATAKI KUWAJIBIKA, NA BENKI KUU YA TANZANIA INAWASAIDIA KWA SABABU KIMYA CHAO NI KUKIUKA SHERIA NA TARATIBU KATIKA FINANCIAL CONSUMER PROTECTION
 
Let me ask some questions im very eager to know more,

1. How you lost customers, how you lost 13m, how yo suffered loss to tune mil 500?,
Je account kuu ilikuwa na hizo mil 13?

2. How did you fail to perform daily economic activities?Je bank ili flag account kuu nnje ya iliofunguliwa kwa flaudulent practise?je haujawahi kuwa na uwakala?au mkopo na hio bank?

3. This account is not normal as it looks only for collection or internal account 015c763701S00, tusaidie wengine tusije pata shida
 
Let me ask some questions im very eager to know more,

How you lost customers, how you lost 13m, how yo suffered loss to tune mil 500?,

This account is not normal as it looks only for collection 015c763701S00 failure to perform daily economic activities
 
Kindly, read my post again. I've already narrated regarding this and also I attached documents just go through em , you'll get something to learn and that's why Bank of Tanzania determined in favor of us, you got me my brother just read that determination attached ait.
 
Natamani Tz tungekua kama KENYA kwenye maandamano ningetarget sehemu zangu za kuchoma m*to ..
Kenya usiige yale maandamano ya kikabila
Waandamanaji ni wakikuyu na wajaluo

Wanaandamana dhidi ya Raisi Ruto wa kabila la Wakalenjini

Tanzania ni rahisi kujiandikia hati.ya kifo binafsi.Jaribu kuandamana halafu jaribu kuchoma moto hata kibanda ya mtu anayeuza chips.Polisi watakutanguliza uwahi kwa mola wako chapchap .Ukienda maandamano ya vurugu ya choma choma hayo uondokapo kwenu uandike na wosia kabisa kuwa naenda sitarudi na uwaeleze wakuzike wapi

Tanzania sio Kenya ni nchi mbili tofauti kwa kila kitu ikiwemo polisi

Kenya wana police service sisi tuna police forrce .Tiii sheria bila shuruti usipotii si tu utalazimishwa kutii bali waweza lazimaishwa kufa kabla ya wakati wako
 
Kampuni yetu , HAIKUWAHI KUFUNGUA ACCOUNT KWENYE BENKI YA CRDB, LAKINI CRDB WALIFUNGUA ACCOUNT NA WAKAPITISHA PESA NA ZIKATOLEWA NA HAWATAKI KUWAJIBIKA, NA BENKI KUU YA TANZANIA INAWASAIDIA KWA SABABU KIMYA CHAO NI KUKIUKA SHERIA NA TARATIBU KATIKA FINANCIAL CONSUMER PROTECTION
Kama haijawahi fungua crdb ,maana yake inachodaiwa hapo ni kutumia jina la kampuni yako kwa fraudulent practise , Je ulinotice vipi km account imefunguliwa hapo na huna account hapo mkuu?

hio statement ya hio account unayo? ikiwezekana tafuta wakili mzuri
 
Nendeni Samia legal Aid, watawasaidia
Kaka hao ndio hawana msaada kabisa na namba zao ninazo na nishafika hadi pale Makole ofisini kwao Dodoma , wale wengi wanakua watendaji na mabibi maendeleo ya jamii wanadeala na case za kawaida sana hizi hawataki hata kusikia
 
Kama haijawahi fungua crdb ,maana yake inachodaiwa hapo ni kutumia jina la kampuni yako kwa fraudulent practise , Je ulinotice vipi km account imefunguliwa hapo na huna account hapo mkuu?

hio statement ya hio account unayo? ikiwezekana tafuta wakili mzuri
 
Niligundua baada ya kufuatilia malipo ya kampuni kutokana na tender iliyokuwa imefanyika kwenye kituo Cha afya.
 
Niligundua baada ya kufuatilia malipo ya kampuni kutokana na tender iliyokuwa imefanyika kwenye kituo Cha afya.
Sasa ukifungua kesi Mahakamani washitaki na hicho kituo cha afya ,maana why walipe malipo kwenye account ambayo ujawapa?

wanalipaje kwenye hio account? waliipata wapi? nani alijua bank kwamba unahayo malipo na kuwataarifu kituo cha afya walipe huko?

Je unamfanyakazi kwenye kampuni mjanja mjanja? labda uanze na huyo maana hio ingekuwa bank imefanya direct kupitia hivo ,bank ingekupa hio hela alafu ingewashitaki hao staff,

Maoni tu
 
Kindly, read my post again. I've already narrated regarding this and also I attached documents just go through em , you'll get something to learn and that's why Bank of Tanzania determined in favor of us, you got me my brother just read that determination attached ait.
Nimesoma mimi ,bank imesema ulipwe ile mil 13 na any loss suffered na kutoa report of incident hapo ndio patamu,

Nani alienda kutoa hio ela kwenye account? inaezekana walifoji vitambulisho, hio ni criminal case ,bot wapewe ripoti walioomba kuhusu hio issue,

Tafuta wakili mzuri kuhusu banking law,japo ni cost
 
Back
Top Bottom